BODABODA AMSHIKA AFANDE KALIO, AKIONA!!

Musa Mateja
Maskini! Sexy lady kunako anga la Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amejikuta akiangua kilio hospitalini kutokana na kile kilichodaiwa ni hasira baada ya kudai kufanyiwa ndivyo sivyo na madaktari, Ijumaa Wikienda lina kisa cha kusikitisha.
Rehema Chalamila ‘Ray C’.
Tukio hilo lilijiri wikiendi iliyopita kwenye Hospitali ya Mwananyamala, Dar ambapo mwanadada huyo amekuwa akihudhuria mara kadhaa kwenye kliniki ya kumeza vidonge vya kupunguza makali ya madawa ya kulevya, Methadone.…

BODABODA AMSHIKA AFANDE KALIO, AKIONA!!

Posted by GLOBAL on June 15, 2015 at 8:00am 0 Comments
Dustan Shekidele, Morogoro
Kibano! Mwendesha pikipiki almaarufu bodaboda aliyetajwa kwa jina la Juma Abdallah amekula kibano baada ya kudaiwa kumdhalilisha afande wa kike wa Jeshi la Zima Moto mkoani hapa, Winnifrida Kachota kwa kumshika kalio hivyo kuibua timbwili zito.
Wananchi wakiandamana kumtetea mwendesha pikipiki almaarufu bodaboda.
Tukio hilo lililoibua vita kubwa lilijiri nje ya ofisi ya Zima Moto mkoani hapa mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo ilibidi polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU)…

No comments:

Post a Comment