SENENE KIGANJA KIMOJA CHA MKONO 'JERO' MJINI BUKOBA.

Baadhi wachuuzi wa kitowea maarufu kwa wakazi wa Bukoba,kiitwacho senene,wakiwaandaa tayari kwa kuwauza kwa wateja wao,ambapo hupima kwa kiganja cha mkono kwa kiasi cha shilingi 500. Kijana akiandaa senene wake kwa ajili ya chakula,kama alivyokutwa na Camera ya Globu ya Jamii nje ya soko la Bukoba mjini,ambako Senene hao hupatikana na kuuzwa kwa wingi. Wachuuzi wa kitoweo cha Senene wakimuuzia mteja wao,ambapo hupima kwa kiganja na kuuzwa 500 . Wengine wanauwaza wakiwa bado hai kama hivi

Baadhi ya akina mama wakiwa kwenye ujasiliamali wao biashara ya mbogamboga nje ya soko la Bukoba mjini,mapema leo mkoani Kagera.
PICHA NA MICHUZJI JR-BUKOBA

No comments:

Post a Comment