Mahakama ya Rufani imepanga kusikiliza rufaa dhidi ya Mwenyekiti wa kampuni inayoshughulikia uwekezaji wa mitaji na dhamana (Egma), Harry Kitilya na wenzake, Shose Sinare na Sioi Solomon juma lijalo. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Mahakama ya Rufani, rufaa hiyo imepangwa kusikilizwa Jumanne Mei 31 na chini ya majaji watatu Bernard Luanda, Salum Masatti na Semistocles Kaijage. Rufaa...
No comments:
Post a Comment