Na Ismail Ngayonga - Maelezo. SERIKALI inakusudia kuwapeleka katika kambi za mafunzo ya Jeshi la Kuujenga Taifa (JKT) watoto wa mitaani wenye umri wa zaidi ya miaka 18 ili wajifunze stadi za kazi na shughuli za uzalishaji mali. Hayo yamesemwa jana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu wakati wa mahojiano maalum katika kipindi...
No comments:
Post a Comment