Ufafanuzi wa SUMATRA kuhusu kupanda kwa nauli za mabasi ya mikoani

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imekanusha taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii juu ya uwepo wa nauli mpya zilizopangwa na mamlaka hiyo kwa safari za mabasi yaendayo mikoani. Taarifa hizo zilizosambazwa mitandaoni zimedai kuwa, uwepo wa nauli hizo mpya za mabasi ya mikoani zimekuja kufuati kupanda kwa gharama za mafuta (dizeli na petroli). Taarifa...
Read More

No comments:

Post a Comment