Kamanda Senga Awataja Waliofarikia Kwenye Ajali ya Basi la Arusha Express Iliyotokea Leo

Na John Walter-Babati. Watu wanne wamefariki dunia na 11 kujeruhiwa baada ya kupata ajali mbaya ya gari la abiria  walilokuwa wakisafiria kutoka Arusha kuelekea Mbeya mara baada ya dereva kushindwa kulimudu wakati akikata kona kwenye eneo la Mlima Haraa wenye kona kali kata ya Bonga mjini  Babati. Kamanda wa polisi mkoa wa Manyara Agustino Senga amesema ajali hiyo imetokea majira...
Read More

No comments:

Post a Comment