Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Oktoba 8 mwaka 2018 imeshindwa kuendelea kusikiliza kesi ya kutoa lugha chafu ya matusi dhidi ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli inayomkabili Mbunge wa Kawe, Halima Mdee kwa sababu shahidi wa upande wa mashtaka aliyetarajiwa kutoa ushahidi hakufika. Wakili wa Serikali Mwandamizi Mwita amedai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu,...
No comments:
Post a Comment