2016 Diversity Visa program (Lottery ya Greencard) mwisho ni Novembe 3, 2014
Kwa walio nyumbani - Hii ni lottery ya bure, ukimlipa mtu akuchezee basi umeibiwa.
Jinsi ya kucheza:
- Piga passport size ya 2 inch by 2 inch (utahitaji picha yako na mke/mume pamoja na watoto)
- Tembelea hii website (https://www.dvlottery.state.gov/) halafu ujaze form.
- Hifadhi confirmation yako (utaihitaji ili kuangalia kama umeshinda au la)
- Matokeo yataanza kutoka kati ya May 5, 2015 na September 30, 2016. Ingia hapa kuangalia matokeo http://www.dvlottery.state.gov/ESC/
- Fuata maelekezo kwa usahihi, usipofuata unakuwa disqualified mara moja
Chezeni jamani, watu wa mataifa mengine waanacheza sana na huwa wanashinda sana.
No comments:
Post a Comment