AJALI YA KUTISHA JETI LUMO DAR



Gari aina ya Toyota Hiace inayobeba abiria ikiwa imekandamizwa na container baada ya kuangukiwa

Kumetokea ajali mbaya jioni hii maeneo ya Jeti Lumo mwisho wa lami Wilaya ya Temeke jijini Dar ambapo gari kubwa la mizigo limeangukia Daladala iliyokuwa kituoni. Ajali hiyo imetokea wakati gari hilo semi-trailer ikikata kona pale mwisho wa lami ambapo kontena lilianguka na kutua juu ya bodi ya daladala.
Mtoa taarifa wetu amesema hali…

No comments:

Post a Comment