CHENI YA SH. MIL. 6 YAMFIKISHA POLISI AUNTY EZEKIEL


Stori: Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani

NYOTA wa sinema Bongo, Aunty Ezekiel ameingia matatani na maafande wa Kituo cha Polisi Pangani, Ilala jijini Dar akidaiwa kutokomea na cheni ya Shabani Limo yenye thamani ya shilingi milioni 6.
Nyota wa sinema Bongo, Aunty Ezekiel akiwa Bongo.
Kwa mujibu wa chanzo, mwishoni mwa Februari, mwaka huu, Aunty alikwenda kwa Shabani na kuazima cheni hiyo kwa makubaliano ya kuirejesha baada ya muda jambo ambalo hakulifanya na baadaye, Septemba mwaka huu, akasafiri…

No comments:

Post a Comment