FAST JET KIMEO!

    Posted by GLOBAL on October 15, 2014 at 4:30am
Stori: Ojuku Abraham

SHIRIKA la Ndege la Fast Jet linalotoa huduma ya usafiri wa anga katika baadhi ya mikoa ya Tanzania na nje ya nchi, limelalamikiwa na wateja wake mbalimbali kutokana na jinsi linavyofanya kazi, Risasi Jumatano lina habari kamili

No comments:

Post a Comment