KADINDA AMUANIKA MPENZI


Na Imelda Mtema

MWANAMITINDO maarufu Bongo, Martin Kadinda ameamua kumuweka wazi mpenzi wake ambaye siku za nyuma alikuwa na mpango wa kufunga naye ndoa mapema mwaka huu lakini kukatokea tofauti kidogo wakahairisha zoezi hilo.
Mwanamitindi maarufu Bongo, Martin Kadinda akiwa na mpenzi wake.
Akizunguza na mwandishi wa habari hivi karibuni, Kadinda aliweka wazi kuwa huyo ndio mke wake mtarajiwa na Mungu akipenda watafunga naye ndoa mwakani. “ Ni kweli ni mpenzi wangu…

No comments:

Post a Comment