KAMANDA NZOWA ATUMIWA PAKA 3 OFISINI


Stori: Makongoro Oging’

MAAJABU! Paka watatu wenye macho mekundu walimshangaza Kamanda wa Polisi Kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania, SACP Godfrey Nzowa pale alipowakuta katika mlango wa ofisi yake na kumng’ang’ania miguuni.
Kamanda wa Polisi Kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania, SACP Godfrey Nzowa akiwa ofisini kwake.
Sakata hilo lilitokea wiki iliyopita wakati Kamanda Nzowa akitoka ofisini na mgeni wake aliwakuta paka hao mlangoni.Kufuatia hali…

No comments:

Post a Comment