KIMBUNGA CHAUA 6 NCHINI INDIA

Posted by GLOBAL on October 12, 2014 at 5:53pm 
        Upepo mkali ukivuma leo katika ufukwe wa Gopalpur huko Orissa, India.
Taswira kutoka katika Hoteli ya Park iliyopo Visakhapatnam wakati kimbunga hicho kikipita.
WATU sita wamepoteza maisha nchini India baada ya kimbunga kiitwacho Hudhud kupiga eneo la pwani ya India kikiwa na…

No comments:

Post a Comment