Ndg wana 1Martin1Family habarini za leo na poleni sana na majukumu ya kujenga uchumi wa kifamilia na nchi yetu kwa ujumla.
Naomba nichukue fursa hii kuwakumbusha kufanikisha michango yenu ya hali na mali kwa ajili yaharusi ya ndg yetu Raphael Lucas anayetaraji kufunga ndoa takatifu tarehe 18-10-2014.
kwa kufanikisha hilo utaweza kuwasiliana ama kufanikisha mchango wako kwa wanakamati wafuatao:-
Fortunata Lucas +255 754 888 000 au
Martin Assis Frank +255 753 666 666
Tunatanguliza shukrani zetu kwako na ubarikiwe sana!
No comments:
Post a Comment