MSIBA
Familia ya Bandawe ya
Newark Delaware inasikitika kutangaza kifo cha baba mzazi wa Bi.Vicky Bandawe
Mzee Jonas Soka kilichotokea asubuhi ya kuamkia leo huko Arusha baada ya kuugua
kwa muda mfupi.
Msiba upo nyumbani kwa wafiwa 719 6th St Newark
Delaware 19711.
Kama desturi yetu tunaombwa tuchukue nafasi hii
kuwapa pole na faraja wafiwa Bw. na Bibi Bandawe katika kipindi hiki kigumu..
Mazishi yanatarajiwa kufanyika huko Kombo Moshi Jumamosi Oktoba
18,2014.
Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana na
:
Immanuel Bandawe 302-803-9487.
Vicky Bandawe 302-256-4516.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake
lihimidiwe. AMEN.
No comments:
Post a Comment