Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo wakikata utepe kwa pamoja kuzindua kituo cha huduma cha Kardinali Rugambwa katika Parokia ya Mtakatifu Petro jijini Dar es Salaam juzi. Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Mwenyekiti wa parokia hiyo, Dk Adelhelm Meru na kushoto ni Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Eusebius Nzigilwa. Na Mpigapicha Wetu.
No comments:
Post a Comment