TANGAZO LA MSIBA

Naomba niwashirikishe ndg zangu habari ya msiba:

Kwa wale walio wahi kumfahamu Mzee Jonas Simon Karosi Soka ambaye ni kaka kwa mama Assis (mjomba pekee kwa Assis, Lenla, Maria & Simon) Mjomba huyo hatunaye tena ametutangulia Mbele ya haki baada kuugua kwa muda sasa. Mzee Soka alifariki jana saa 4usiku.

Katika kipindi hiki tuwaombe basi mumshirikishe kwenye sala na maombi ili roho ya marehemu Jonas Soka ikapumzike kwa Amani. Amina.

Asante na niwatakie mapumziko mema!


Message from Assis Martin

No comments:

Post a Comment