KHALEED Mohamed maarufu kama TID ni mmoja kati ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya ambao nimewahi kufanya nao kazi kwa karibu, kiasi cha kugeuka na kuwa washkaji. Nimemfahamu kipindi kirefu kidogo, muda mchache tu tokea alipoibuka na kibao chake kilichomtambulisha, Zeze!
Sina haja ya kurudia kuelezea kuhusu ubora wa kazi zake, kwa sababu kama ni kuimba, anajua.
Na najua wengi wanatambua ukali wa vibao vyake vingi ambavyo amevifanya na kumfanya kuwa mmoja kati ya wasanii wa muda mrefu ambao wameendelea kubakia katika levo za juu, katika kipindi ambacho kuna ushindani mkubwa, hasa kutoka kwa vijana…

No comments:
Post a Comment