Gari likiwa limekwama katika moja ya kingo ya barabara ya Morogoro maeneo ya Jangwani.
Hii ndiyo kingo ambayo imekuwa ikipandwa na magari mbalimbali, kwa mbali ni gari lililonasa.
KAMERA ya GPL leo imelinasa gari moja maeneo ya Jangwani jijini Dar, likiwa limenasa katika moja ya kingo za barabara ya Morogoro baada ya kutaka kuruka kingo…
No comments:
Post a Comment