UTEKAJI WATOTO WATIKISA DAR

Posted by GLOBAL on October 7, 2014 at 4:30am 
Stori: Makongoro Oging’

MUNGU wangu! Lile sakata la utekaji na upoteaji wa watoto ambao wengi ni wanafunzi wa shule za msingi katika Jiji la Dar na kudaiwa linafanywa na watu walio kwenye magari aina ya Toyota Noah limeingia katika sura nyingine.
Wanafunzi wa shule ya msingi wakitoka madarasani baada kutokea kwa hali ya vurugu.
Safari hii, gari moja lilitupiwa mawe na dereva nusura kuuawa kufuatia kufika katika Shule za Msingi za Kombo na Mtakuja zilizopo Vingunguti, Dar kwa lengo la…

No comments:

Post a Comment