WEMA ANAPONDA RAHA NCHINI CHINA


Posted by GLOBAL on October 23, 2014 at 4:30am 
Stori: Mwandishi Wetu

WAKATI bebi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiugulia maumivu ya kuzomewa na mamia ya mashabiki wa muziki katika Tamasha la Fiesta jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wikiendi iliyopita, Wema Sepetu ‘Madam’ anaponda raha ya maisha nchini China, Amani lina full data.
Bebi wa mbongo Fleva ‘Diamond Platnumz’ , Wema Sepetu ‘Madam’.
Chanzo makini kilicho ‘kloz’ na muigizaji huyo nyota wa filamu nchini, kimesema Wema alipaa na ndege ya Emirates wiki iliyopita, siku…

No comments:

Post a Comment