JAMAA aliyetajwa kwa jina moja la Aziz, amenusa kifo laivu baada ya kupokea kipigo ‘hevi’ kisha kukamatwa akituhumiwa kwa wizi wa pikipiki almaarufu bodabodaKwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, jamaa alikamatwa hivi karibuni usiku mnene akidaiwa kutaka kutekeleza uhalifu huo jirani na Kumbi za Starehe za Nyumbani Park na Samaki Sports zilizopo maeneo ya Kihonda mjini hapa.
Mwanahabari wetu,…
No comments:
Post a Comment