MSANII wa Bongo Fleva, Baby Madaha anadaiwa kuambukizwa gonjwa hatari la zinaa ambalo halikutajwa jina lakini likielezwa kuwa linampa wakati mgumu kisaikolojia. Chanzo kimoja kimeiambia show bize kuwa, nyota huyo amekuwa akitumia dawa za kusafisha haja ndogo kwa muda mrefu lakini bila mafanikio.
Show bize ilimsaka Baby Madaha mwenyewe ambapo aling’aka kwa ukali.
“Hizo habari nani kakupa wewe? Hayo si moja ya maisha ya wanadamu kwani…
No comments:
Post a Comment