Imethibitika rasmi kwamba Diamond atafanya onesho kwenye white party ya Zari inayotegemewa kufanyika Desemba 18, 2014 jijini Kampala nchini Uganda kwa mujibu wa mtandao wa Boss Lady kwenye ukurasa wake wa facebook ameandika kwa Diamond kuwa mgeni rasmi na hiki ndicho alichoandika Zari kwenye ukurasa wake wa facebook “Proud to announce Diamond Platinumz is our official guest artist at the Zari All White Ciroc Party. White is always pure, fab & classy,”
Zari alikua na Diamond kwenye tuzo za Channel O zilizofanyika jana nchini Afrika Kusini, Diamond pia aliambatana na mama yake ikiwemo menejiment yake.
No comments:
Post a Comment