DIAMOND, ZARI MAHABA MAZITO


Stori: Hamida Hassan na Musa Mateja

Siku chache baada ya kumwagwa na Wema Isaac Sepetu ‘Beautful Onyinye’, Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amenaswa kwenye mahaba mazito na msanii, mtangazaji, mjasiriamali, tajiri na mrembo mkali kuliko wote Afrika Mashariki, Zarinah Hassan a.k.a Zari au Boss Lady.
Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akimhagi msanii mrembo mkali kuliko wote Afrika Mashariki, Zarinah Hassan a.k.a Zari au Boss…

No comments:

Post a Comment