ESHA BUHETI AOGOPA DHAMBI YA KUJICHORA TATUU


Stori: Imelda Mtema

MSANII wa filamu za Kibongo, Esha Buheti, amesema kuwa anaweza akafanya vitu vingi vya kujiremba lakini anaogopa sana kujichora tatuu kwani ni dhambi.
Msanii wa filamu za Kibongo, Esha Buheti.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii, Esha alisema kuwa kitu ambacho anahisi inaweza kuwa ni moja ya dhambi mbaya kabisa ni kujichora tatuu mwilini kwani katika dini yoyote au dhehebu lolote halikubali mtu kujichora vitu tofauti na uumbaji wa Mwenyezi Mungu.

“Nitaiga vitu vingine…

No comments:

Post a Comment