ESTER KIAMA: BILA MILIONI 5 SIJAOELEWA


Kwenye kiwanda cha filamu Bongo sasa kuna warembo wakali wanaotishia amani wakongwe. Waswahili wanasema, hawavumi sana lakini ni moto wa kuotea mbali kwa uigizaji na muonekano pia.

Safu hii wiki hii imebahatika kumnasa mwanadada anayekwenda kwa jina la Ester Kiama. Amebanwa kwa maswali 10 ambapo bila hiyana alitoa ushirikiano. Ungana na mwandishi wetu Imelda Mtema aliyefanya naye mahojiano.
Muigizaji wa filamu Bongo, Ester Kiama.
Ijumaa: Wewe ni binti mrembo sana, unakabiliana vipi na hii rushwa ya ngono ambayo inaonekana kuwatesa…
http://www.globalpublishers.info/

No comments:

Post a Comment