JOHARI: SITAKI KUSIKIA HABARI ZA CHUCHU


Stori: Mayasa Mariwata

STAA wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amesema kwa sasa hataki kabisa kusikia habari za mwigizaji, Chuchu Hans ambaye wamekuwa wakitifuana mara kwa mara wakidaiwa kugombea penzi la Vincent Kigosi ‘Ray’.
Staa wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’.
Akikitemea cheche kinasa sauti cha paparazi wetu baada ya kuulizwa kuhusiana na hatma ya malumbano yao ya mara kwa mara na Chuchu, Johari alisema hataki…

No comments:

Post a Comment