JOKATE ATAJA SABABU ZA KUWA KARIBU NA WANAUME WENGI


Stori: Imelda Mtema

MWANAMITINDO na mtangazaji kiwango Bongo, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa sababu kubwa inayomfanya awe karibu zaidi na wanaume ni marafiki zake wa kike kuwa nje ya nchi.
Mwanamitindo na mtangazaji kiwango Bongo, Jokate Mwegelo.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Jokate alisema amekuwa akipata malalamiko kutoka kwa watu wengi kuwa kampani yake kubwa ni wanaume hadi wengine kumuona ni malaya wakati si kweli.
“Watu wengi wanasema mimi malaya kwa sababu ya ukaribu wangu na…

No comments:

Post a Comment