LUNGI: MTU AMSHOBOKEE BWANA WANGU AONE


STORI: HAMIDA HASSAN

Staa wa filamu za Kibongo, Lungi Mwaulanga amesema mwanaume aliyezaa naye (jina ni siri yake) anampenda sana na mwanamke asiyejipenda amshobokee aone kitakachompata.
Staa wa filamu za Kibongo, Lungi Mwaulanga.
Akipiga stori na Ijumaa Lungi amesema anajua kuwa wapo wanawake ambao wakiamua kutembea na waume za watu hawashindwi lakini akasema, kwa bwana wake aliyezaa naye akigundua kuna anayemnyemelea, atakufa naye.
“Nawataha-dharisha tu wasije kuthubutu kutoka na mwanaume ambaye…

No comments:

Post a Comment