MAHAFALI YA CHEKECHEA SHULE YA SOUTHERN HIGHLANDS MAFINGA NA SIKU YA WAZAZI

Mkurugenzi mtendaji wa Shule za Southern Highlands Mafinga Mary Mungai akishirikiana na mgeni rasmi kuwalisha keki wanafunzi wa shule hiyo leo wakati wa mahafali ya chekechea na siku ya wazazi.Wanafunzi wakionyesha michezo mbali mbali Baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo wakifuatilia michezo mbali mbali.

Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Mkuu wa shule hiyo pia alitangaza nafasi za masomo kuanzia darasa la kwanza hadi la tatu wanaotokea kiswahili medium schools na la tano pia wakati ,Darasa la 4 na 6 wanaotoka English medium. Kwa la nne na sita wale wanaotoka English medium schools.
Fomu za kujiunga zinapatikana shuleni na kutakuwa na interviews tarehe 13 / 12/2014 maeneo uafuatayo. Shuleni Southern Highlands Mafinga, Oyster Bay Primary school, Dar es salaam, chuo cha Nursing Ilembula na Misufini primary school, Songea ama kuwasiliana na uongozi wa shule kwa simu hii0756749151 au 0754651966 Pia alisema sekondari form one wanazo nafasi na jina la sekondari; Mufindi Highlands School

No comments:

Post a Comment