Hata kama wewe hupendi muziki , hata kama wewe una matatizo na mwanamuziki Diamond lakini kitendo cha kuchukua tuzo 3 alichokifanya jana kiliwafanya mashabiki wengi wa mziki huu kumpa sapoti Diamond. Tuanze na Davido kutoka Nigeria ambaye kwa usiku wa jana hakuondoka na tuzo hata moja , alisema haya kuhusiana na ushindi wa diamond ” TANZANIA STAND UP! HE DID IT! @diamondplatnumz”
Naye Mwanadada Wema Sepetu ambaye ni mpenzi wa zamani wa Diamond japo bado hawajaweka wazi alimtakia heri ya ushindi kaka yake Diamond kwa kuandika haya , “Gnyt Instagramers… And Hongera tele ziende kwa kaka platnumz… I must say he did Tanzania proud…:-) ”
The post Maneno ya wema sepetu na Davido baada ya Diamond kubeba tuzo 3 !!! appeared first on Vibe Magazine TZ Tanzania.
No comments:
Post a Comment