MATAPELI WAMTUMIA DAVINA FACEBOOK


Stori: Imelda Mtema

WALE matapeli wanaotumia jina la Tanzania Loans, ambao huwadanganya watu kuwa wanatoa mikopo isiyo na riba, wameingia kwenye akaunti ya msanii wa filamu, Halima Yahaya ‘Davina’ katika mtandao wa facebook na kuwataka watu kuchangamkia mikopo hiyo.
Msanii wa filamu, Halima Yahaya ‘Davina’.
“Unajua mpaka sasa watu hawanielewi kabisa mimi, wanajua ni kweli ndiye niliyeandika kitu hicho, si kweli kabisa maana hata ndugu na marafiki zangu wamenishangaa sana na wengine kuanza kunisema…

No comments:

Post a Comment