MAZISHI YA BILIONEA WA MAPENZI GARINI BUKOBA HISTORIA!


Stori: Erick Evarist

ACHANA na mazingira ya kifo cha Bilionea maarufu wa Bukoba, Leonard Mtensa aliyefariki saa chache baada ya kufanya mapenzi ndani ya gari kuacha gumzo, gumzo lingine lilitokea wakati wa mazishi yake ambayo yalihudhuriwa na wananchi wengi kutoka ndani na nje ya mkoa, Risasi Mchanganyiko linakupa mkanda kamili.
Msafara wa magari kuelekea kwenye mazishi.
Tukio hilo la mazishi lilijiri Jumamosi iliyopita katika Kijiji cha Kyaikailabwa, nje kidogo ya mji wa Bukoba ambapo siku…

No comments:

Post a Comment