Mtu mwenye kilo 250 anaomba msaada

Anakilo 250 familia inauwezo wakumlipia ndege siti sita ili aende India kwa matibabu ila mpaka sasa ndege tatu zimeshamkataa. Wanaomba serikali ingilie kati

No comments:

Post a Comment