NIMETENGWA, KISA USAGAJI


Stori: Gladness Mallya

MSANII wa Filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ amesema sasa hivi yuko kwenye wakati mgumu kutokana na baadhi ya marafiki na ndugu kumtenga wakimhusisha na skendo ya usagaji.
Msanii wa Filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’.
Akichonga na paparazi wetu, Vai alisema amekuwa akiumia na kukosa raha kwani kila kona anayokatiza anaitwa msagaji kutokana na kuwa na mashosti wengi wenye katabia hako, jambo linalomfanya atengwe.
“Kila…

No comments:

Post a Comment