Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa
na Daktari Bingwa Edward Schaeffer kutoka
Hospitali ya Johns Hopkins alipokuwa amelazwa
baada ya kufanyiwa upasuaji mwishoni mwa wiki iliyopita.Kulia nia Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa
na Daktari Bingwa Edward Schaeffer kutoka Hospitali ya Johns Hopkins alipokuwa
amelazwa baada ya kufanyiwa upasuaji mwishoni mwa wiki iliyopita.Kulia nia Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na
Daktari Edward Schaeffer muda mfupi baada ya kuruhusiwa kutoka katika hospitali
ya Johns Hopkins huko Baltimore, Maryland nchini Marekani ambapo alifanyiwa
upasuaji mwishoni mwa wiki iliyopita.(picha na Freddy Maro)



No comments:
Post a Comment