SHAMSA: NITAZAA MPAKA NIAMBIWE BASI


Staa wa Filamu za Kibongo, Shamsa Ford amesema kuwa kutokana na kupenda watoto anaona hawezi kutosheka kuzaa watoto wawili au watatu ila atakachofanya ni kuzaa tu mpaka atakapoambiwa hospitali inatosha.
Staa wa Filamu za Kibongo, Shamsa Ford.
Akichezesha taya na mwandishi wa habari hii, Shamsa alisema kuwa tangu alipoanza uhusiano na mchumba wake aitwaye Dick kisha kuzaa naye, walikuwa wamepanga wazae angalau watoto saba ila wapishane kidogo ili waweze kuwalea vizuri.
“Siwezi kutosheka kuzaa…

No comments:

Post a Comment