SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA - 7


Bado Khadija Kopa anaendelea kusimulia simulizi ya maisha yake. Yupo shuleni, anatamani kuimba, anapofanya hivyo, wanafunzi hasa wa kike wanaonekana kumuonea wivu na hivyo kumfunja moyo, kitu cha ajabu kwake, wavulana ndiyo waliokuwa wakimfariji, alipoambiwa hajui, wao walimwambia anajua kwani hata mbuyu ulianza kama mchicha.ENDELEA NAYOƖ
AZIDI KUKERWA

Ngoja niseme ukweli kwamba kwa maneno ambayo alikuwa akiyazungumza siku hiyo yalinichefua, yakanifanya nizidi kuwachukia wasichana ambao kwa jinsi nilivyokuwa, nilitegemea ningepata sapoti kubwa kutoka kwao lakini wao ndiyo walikuwa wa kwanza…

No comments:

Post a Comment