VODACOM WASOGEZA HUDUMA KWA WAKAZI WA MJI WA KIHISTORIA WA BAGAMOYO
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi wa kwanza kulia akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo barabara ya soko jipya Bagamoyo mjini mwishoni mwa wiki.Wengine katika picha katikati ni Mkuu wa Idara ya Uuzaji na usambazaji bidhaa wa Vodacom Tanzania Upendo Richard na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni hiyo Rosalynn Mworia.…

No comments:
Post a Comment