MSANII mkongwe kwenye filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kuwa anajutia maisha aliyokuwa akiishi kipindi alipokuwa Bongo Movie Unity kwani alipoteza muelekeo kutokana na ile kasumba ya kukaa Viwanja vya Leaders kila kukicha kwa mambo yasiyokuwa na tija.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Cathy alisema kati ya vitu vinavyomuumiza ni kupoteza fedha nyingi kwenye vikao Leaders bila…
No comments:
Post a Comment