Christian Bella akiongea na wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar jioni hii.
MWANAMUZIKI Christian Bella 'King of the best melodies' ambaye pia ni prezidaa wa Malaika Band, jioni hii ametua jijini Dar es Salaam akitokea nchini Sweden alipokwenda kuijulia hali familia yake pamoja na kufanya shoo katika baadhi ya nchi za Ulaya.Staa huyo Jumamosi hii atakuwa Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live kuwapa raha mashabiki wake na kutambulisha ngoma yake ya NANI KAMA MAMA.
(PICHA / HABARI: GABRIEL NG'OSHA KUPITIA GLOBAL WHATSAPP 0753 715…
No comments:
Post a Comment