Daktari feki aitwaye Dismas Macha amekamatwa
katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) akiwa amevaa sare za kazi kama Daktari
ambapo hii inakuwa mara ya pili kukamatwa akiwa anachangisha rambirambi kwa
Madaktari akidai kuwa amefiwa.
Anaye daiwa kuwa Daktari feki ,akiwa chini ya
ulinzi Dar es Salaam jana, baada ya kuingia katika Taasisi ya Mifupa (MOI) akiwa
amvalia nguo ya kazi na akiwa na kitambulisho cha kazi na kujifanya yeye ni
Daktari wa Taasisi hiyo .Baada ya kukamatwa na askari alikutwa na vitu
mbalimbali kama vile nyaraka za Serekali,
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa na
Mishipa ya Fahamu na Upasuaji wa Ubongo ya MOI, Dk Othman Wanin Kiloloma
amesema;.PICHA NA KHAMISI MUSSA
No comments:
Post a Comment