Diamond awasili Marekani tayari kwa sherehe ya Uhuru



Diamond akiwasili kwenye uwanja wa kimataifa wa Dulles muda huu tayari kwa makamuzi ya sharehe ya Uhuru itayofanyika muda si mrefu Sheraton, ya Downtown Silver Spring, Maryland.
http://www.wavuti.com/2014/12/diamond-awasili-marekani-tayari-kwa.html

No comments:

Post a Comment