Diamond Platnumz na kundi lake wakiwa na
watoto yatima mjini Mombasa nchini Kenya walipotembelea makazi yao na kula
chakula na watoto hao.
Diamond Platnumz akimsaidia mmoja ya watoto
yatima wa kituo hicho mjini Mombasa nchini Kenya kula chakula.
Diamond Platnumz na kundi lake wakiwa kwenye
kituo cha kulea watoto yatima mjini Mombasa nchini Kenya.
Diamond na kundi lake wakiwa katika picha ya
pamoja na watoto yatima mjini Mombasa nchini Kenya.
Picha kwa hisani ya
http://instagram.com/wcb_wasafi
No comments:
Post a Comment