Stori:mayasa mariwata MTANGAZAJI wa Redio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ amesema siku zote anapokuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi akigundua mtu wake ana ‘date’ na mwanamke mwingine, kamwe hatathubutu kugombea bwana ila atanawa mikono.
Mtangazaji wa Redio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ akipozi.
Akibonga na paparazi wetu hivi karibuni Dida alisema, hakuna kitu ambacho kwake anaona ni cha kipuuzi kama kugombea penzi, kwa kuwa mtu anapokusaliti ni wazi upendo wake umehamia kwa mtu mwingine hivyo…

No comments:
Post a Comment