‘Houseboy’ jela maisha kwa kubaka mtoto


Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemhukumu kifungo cha maisha mfanyakazi wa ndani, Habibu Adamu (20) baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mtoto wa miaka sita na kumsababishia maumivu. 
http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-/1597296/2569286/-/smkrxvz/-/index.html

No comments:

Post a Comment