KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI, ELIAKIM MASWI ASIMAMISHWA KAZI KWA MUDA


Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Eliakim Maswi.
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Yohana Sefue, amemsimamisha kazi kwa muda Ndugu Eliakim Maswi, Katibu Mkuu ya Wizara ya Nishati na Madini, ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake, kama ilivyoelekezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…

No comments:

Post a Comment