KESI YA KENYATTA ICC YATUPILIWA MBALI



Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya.
MAHAKAMA ya Kimataifa ya ICC imetupilia mbali kesi ya jinai inayomkabili Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta baada ya kushindwa kumtia hatiani.
Rais Kenyatta alikuwa anatuhumiwa kwa makosa ya jinai kufuatia machafuko ya baada ya uchaguzi wa mwaka 2007 - 2008, madai ambayo ameyakanusha
http://www.globalpublishers.info/

No comments:

Post a Comment